iqna

IQNA

Tafsiri na Wafasiri wa Qurani
Muhtasairi kuhusu Tafsiri na Wafasiri wa Qur'ani Tukufu/1
TEHRAN (IQNA) – Tafsir (tafsiri) ni istilahi katika sayansi ya Kiislamu ambayo ina maana ya kueleza maana ya aya za Qur'an Tukufu na kutoa mafundisho kutoka kwayo.
Habari ID: 3475733    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/04